Sasa unaweza kujisajili katika mradi wa Trickle Out. Bonyeza viunganishi vilivyoko hapo chini ili kutumwa kwa ukurasa salama wa Trickle Out ya usajili. Katika ukurasa huu kutakuwa na taarifa zaidi kuhusu mradi, kuhusu jinsi data unayoiandikisha nasi itahifadhiwa na kutumiwa, na kuhusu haki za idhini ya kufahamishwa kwa kushiriki katika utafiti huu. Utakuwa na chaguo ya aina tatu ya kujisajili:

  • Kama unawakilishi shughuli yako ya biashara ya jumuiya au mazingira au unamiliki tafadhali bonyeza hapa (Swahili) au bonyeza hapa (Kiingereza)
  • Kama unawakilisha shirika au uana chama wa mwungano inayosaidia mashirika ya biashara ya jamii au mazingira tafadhali bonyeza hapa (Kiingereza)

  • Kama unawakilisha mfadhili.wakala ya usaidzi au shirika la usaidizi linalosaidia mashirika ya biashara ya jamii au mazingira tafadhali bonyeza hapa (Kiingereza)

Sheffield Management School