Karibu kwa Trickle Out!
Karibu kwa tovuti ya mradi wa Trickle Out. Trickle Out ni utafiti wa mradi unaofadhiliwa na Halmashauri ya Utafiti wa Kijamii na Uchumi ya Uingereza (ESRC), ikichunguza utendaji wa kijamii na/au shughuli za biashara za mazingira na wajibu wake wa ustawi wa maendeleo na kupunguza umaskini katika nchi 19 za eneo la Afrika Mashariki na Afrika Kusini. Mradi uko na makao yake katika Chuo Kikuu cha Shule ya Usimamizi ya Queen, Chuo kikuu cha Queen Belfast.